Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakira huenda akafungwa jela

Shakira Bn.jpeg Shakira huenda akafungwa jela

Sat, 30 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji maarufu wa Colombia na aliyekuwa mke wa beki wa Barcelona Gerard Piqué, Shakira Isabel Mebarak (Shakira) anashutumiwa kwa kushindwa kulipa ushuru wa Euro Milioni 14.5 kati ya 2012 na 2014 na anaweza kufungwa jela miaka minane na faini ya zaidi ya euro milioni 23 iwapo atapatikana na hatia katika kesi ya kushindwa kulipa kodi nchini Uhispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live