Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakira ajengewa sanamu ya shaba nyumbani kwao

Shakiraa01303 Shakira ajengewa sanamu ya shaba nyumbani kwao

Sat, 30 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa Colombia Shakira ametengenezewa sanamu ya shaba ambayo imezinduliwa katika mji aliozaliwa wa Barranquilla.

Mwimbaji wa Colombia Shakira ametengenezewa sanamu ya shaba ambayo imezinduliwa katika mji aliozaliwa wa Barranquilla. Sanamu hiyo yenye urefu wa mita 6.5 (futi 21.3) inamuonesha akiwa kama anazungusha kiuno chake katika video ya wimbo wake maarufu sana wa Hips Don't Lie.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live