Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakira agomea dili la kutumbuiza Kombe la Dunia

Shakira Shakira Shakira

Thu, 17 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Colombia, Shakira anatajwa kuachana na dili nono la kutumbuiza kwenye ufunguzi wa Kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza November 20 nchini Quatar.

Sababu za Shakira kukataa kutumbuiza kwenye Kombe la Dunia zinatajwa kuwa ni kutokana na ukiukwaji wa haki za Binadamu unaofanyika nchini Quatar.

Shakira sio staa wa kwanza kukataa dili hilo nono bali hata Rod Stewart na Dua Lipa wanatajwa kupiga chini dili hilo sababu ikitajwa ukandamizaji wa haki za binadamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live