Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakira afungukia madai ya kuachana na Pique chanzo kwa usaliti

Shakira Afungukia Madai Ya Kuachana Na Pique Chanzo Kwa Usaliti Shakira afungukia madai ya kuachana na Pique chanzo kwa usaliti

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Colombia, #Shakira amefunguka kuhusu uvumi juu ya chanzo cha kuachana na aliekuwa Mpenzi wake Nyota wa Soka #Pique. . Katika mahojiano mapya na #TheSundayTimes, mwimbaji huyo alikuwa na jibu rahisi alipoulizwa ikiwa madai ya usaliti ndio chanzo cha wao kuachana kitu ambacho alikana kwa kusema sio kweli. . Yeye na #Piqué, 37, walimaliza mapenzi yao ya miaka 11 hadharani mnamo Juni 2022 na Wana watoto wawili wa kiume, #Milan, 11, na #Sasha, 9. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live