Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakira aapa kutopenda wala kuolewa tena

Shakira And Gerard Pique Shakira aapa kutopenda wala kuolewa tena

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inawezekana Gerald Pique amemvuruga sana muimbaji Shakira mpaka kufikia hatua ya kusema haamini kama atakuja kupenda au kuolewa tena baada ya kuachana kwao.

Shakira anadai penzi lake na Gerlad Pique limemfanya kumrudisha nyuma na kuumizwa vibaya kimapenzi pia hatamlipizia kisasi kwa kumuongelea kwenye nyimbo zake kama ambavyo amefanya kwenye nyimbo zake zilizopita.

Wawili hao wamedumu kwenye mahusiano kwa miaka 11 na kupata watoto wawili Milan na Sasha baada ya kukutana mwaka 2010.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live