Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakira, Ramos kuna nini nyuma ya Pazia?

Skysports Shakira Gerard Pique 6364677 Shakira, Ramos kuna nini nyuma ya Pazia?

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Sevilla FC, Sergio Ramos amezua gumzo mtandaoni baada ya kumkabidhi mwanamuziki Shakira Tuzo ya Latin Grammy, aliyoshinda ya wimbo bora wa mwaka. Tuzo hizo zilizotolewa jana Novemba 17 huko Seville.

Licha ya idadi kubwa ya waimbaji maarufu wa kike kuhudhuria tukio hilo lakini ilikuwa tofauti machoni mwa watu kwa Ramos, huku baadhi ya mashabiki wakiwahusisha wawili hao kutoka kimapenzi, kufuatiwa na pozi walizoweka katika picha walizo piga katiku usiku huo wa Tuzo.

Tuzo za Kilatini za Grammy za mwaka 2023 zilifanyika mara ya kwanza Sevilla, jiji maarufu nchini Uhispania, ambapo Shakira alifanikiwa kuondoka na tuzo tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live