Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shakib naye abwaga manyanga kwa Zari

Zari Afunga Ndoa Na Mpenzi Wake Shakib na Zari

Sat, 24 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpenzi wa Zari, Shakib Cham amefuta picha zote alizowai kupiga na naye kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Hii imekuja baada ya Diamond Platnumz kuposti video na Zari wakifurahi pamoja.

Tofauti na kufuta picha za Zari, Shakib Cham ameandika ujumbe wa uchungu... "May people with pure intentions find people with pure intentions." Je, Diamond ameamua kurudi mahali pake pa zamani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live