Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sexyy Red amuombea mzazi mwenzake aendelee kubaki gerezani

Sexxxy Reds Sexyy Red amuombea mzazi mwenzake aendelee kubaki gerezani

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa wa kike wa Marekani na muimbaji Sexyy Red ameibua mapya akisema anatamani Baba mtoto wake kuendelea kukaa jela kwa sababu yupo sehemu salama zaidi kwake kuliko uraiani.

Sexyy Red anasema anataka Baby wake ajifunze Ubinaadam zaidi kuliko akiwa uraiani anahofia kumpoteza na kuuliwa.

Unaweza kumuombea mzazi mwenzako kuendelea kukaa gerezani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live