Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sevenn: Nitaolewa nikifikisha miaka hamsini

Sevenn Pozi Sevenn: Nitaolewa nikifikisha miaka hamsini

Sun, 2 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo anayekuja kwenye gemu la Bongo Fleva, Sevenn amesema hana mpango wa kuolewa kwa sasa kwani anatarajia kuolewa akiwa na miaka hamsini.

Sevenn amefunguka hilo alipkuwa kwenye kipindi cha Lavidavi cha Diva ambapo aliulizwa kwamba ataolewa akiwa na umri gani.

“Mimi siwezi bado sijafikia umri wa kuolewa. Nimeplan kuolewa nikiwa na miaka hamsini hivi. Nitaolewa na kijana mdogo hivi,” alisema Sevenn ambaye amesema kwa sasa ana umri wa miaka 27 na bado ni bikira.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live