Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sevenn: Nina miaka 27, simjui mwanaume

Sevenn Mrembo Sevenn: Nina miaka 27, simjui mwanaume

Sun, 2 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Sevenn ameibuka na kali ya aina yake kwa kusema hajawahi kuingiliwa na mwanaume huku akiwa na umri wa miaka 27.

Sevenn ameyasema hayo usiku wa Septemba 29, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Loveness Malinzi ‘Diva’ katika kipindi chake cha Lavidavi.

“Kweli kabisa nina miaka 27 na simjui mwanaume yeyote maishani mwangu. Mwaka juzi kuna tajiri mmoja alinipa hati ya nyumba ili anitoe bikira yangu lakini nilifikiria sana nikaachana naye,” alisema Sevenn.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live