Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali ianze kutulipa wanawake warembo - Rushaynah

Rushaynah Mf Rushaynah.

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanadadada Rushaynah ambaye aliwahi kuwa mke wa Haji Manara amesema kuwa kutokana na urembo wake alio nao, anapendekeza Serikali ya Tanzania ianze kuwalipa wanawake warembo nchini.

Kupitia mitandao yake ya kijamii, Rushaynah ambaye kwa sasa anaishi zaidi Dubai kuliko Tanzania amesema;

"Leo nimeamka nikatizama picha zangu and I was like daaaaammuuuuu, sema hiki chuma kimenyooka sana jamaniii mashallah. Hii nchi ingeanza kutulipa kodi warembo maana tunawakirisha nchi vizuri kabisa," amesema Rushaynah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live