Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Selena Gomez kwenye penzi zito na Benny Blanco

Selena Msdg Selena Gomez kwenye penzi zito na Benny Blanco

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki @selenagomez amethibitisha kuingia Kwenye Mahusiano ya kimapenzi na Mtayarishaji wa Muziki Benny Blanco.

Uvumi kwamba Selena Gomez na @itsbennyblanco walikuwa wako pamoja ulianza wiki chache zilizopita baada ya mashabiki kugundua kuwa walikuwa na uhusiano wa siri . Mashabiki pia wanaamini kuwa barua ya kimapenzi ambayo Blanco alishiriki, ambayo alidai ilitoka kwa "gf" wake ilikuwa katika mwandiko wa Gomez.

Hii ni baada ya ndoa yake kuvunjika hivi Karibuni na aliyekuwa mme wake Dalton Gomez.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live