Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Selena Gomez ajiachia kwa Rema, ampiga mabusu hadharani

Selena Gomez Rema.jpeg Selena Gomez ajiachia kwa Rema, ampiga mabusu hadharani

Tue, 16 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabusu ya mrembo Selena Gomez kwa mwimbaji nyota toka Nigeria, Rema yawa gumzo mtandaoni!

Video hiyo inatajwa kurekodiwa usiku wa jana wakati ambapo Selena alimtembelea Rema backstage kwenye show yake aliyoifanya huko Los Angeles Marekani, ambayo ipo ndani ya ziara yake iitwayo "Rave & Roses".

Hata hivyo kwenye video hiyo Rema anaonekana kuwa kwenye mshangao wakati Bi dada akijiachia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live