Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sauzi ma-DJz ni wakubwa kuliko wasanii

Chino Kidd (2).jpeg Sauzi ma-DJz ni wakubwa kuliko wasanii

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki Bongo, Chino Wana Man @chino_kidd7 ambaye yupo South Africa na amepiga stori mbili tatu na sisi alichokiona huko Bondeni kwa Madiba.

Kubwa kuliko anachosema Chino kuhusu South Africa ni wasanii wanaheshimika lakini ma-DJ ndio wakubwa kuliko wasanii wa nchi hiyo.

Pia, anasema tayari ameshakutana na wasanii wakubwa wa wanaofanya muziki wa Amapiano kama Daliwonga, Kabza De Small na tayari ameshazama studio kufanya collabo na baadhi ya wasanii wa South Africa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live