Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saraphina awachana kiana wasanii wa kike Bongo

Phina (Saraphina) Saraphina awachana kiana wasanii wa kike Bongo

Wed, 21 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa kike nchini ambaye anakuja kwa kasi kwenye industry ya Bongo Flava, Phina (Saraphina) amewataka wasanii wa kike kuacha kazi zao ziongee kuliko kile walicho kionyesha mitandaoni hivi karibuni.

Akifanya mahojiano baada ya show yake ya Fiesta, Phina alidai, isichukuliwe kauli yake kama ni offensive lakini ijulikane kuwa msanii ni package ya vitu vingi sana, uimbaji, muonekano na vingine vingi sio kubase na kitu kimoja then kuonekana we ni mkali, hivyo inabidi zifanyike kazi zaifi ziongee ndani na hata nje ya mipaka ya Afrika Mashariki.

Hii inakuja ikiwa ni siku mbili nyuma, toka Msanii Zuchu adai ahitaji kushindanishwa na wasanii wa kike tena maana ni kama kuwaonea, kwa uwezo wa uandishi aliobarikiwa nao, anapaswa kushindanishwa kwenye ligi ya wanaume.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live