Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Saraha nimempa talaka, namshukuru namuombea MUNGU amsaidie"

14269094 D713 4b2f A5cb 36ddd5f22146 660x400.jpeg "Saraha nimempa talaka, namshukuru namuombea MUNGU amsaidie"

Wed, 17 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Harmonize amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi hasa baada ya kushamiri kwa penzi lake na muigizaji Kajala, ikiwa inafahamika wazi kuwa Harmonize alifunga ndoa naSaraha vipi baada ya kuachana? Talaka alitoa?.

Harmonize amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi hasa baada ya kushamiri kwa penzi lake na muigizaji Kajala, ikiwa inafahamika wazi kuwa Harmonize alifunga ndoa naSaraha vipi baada ya kuachana? Talaka alitoa?. “Sarah ni mtu ambaye nimeishi nae kwa miakq minne kama vijana kuna mengi tumeyapitia kama changamoto ninachoshukuru ni kila mmoja yupo kwenye maisha mengine sasa hivi na ninamuombea Mungu amsaidie, talaka nimeandika” Harmonize

Chanzo: millardayo.com