Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sarah atinga mahakamani kudai urithi kwa Harmionize

Harmonize Sarah Ed Sarah atinga mahakamani kudai urithi kwa Harmionize

Tue, 27 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mke wa Harmonize, mwanadada Sarah Michelotti leo amefika mahakama maalum inayoshughulikia kesi za talaka, mirathi na watoto wilaya ya Temeke, Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa madai ya talaka kati yake na Harmonize

Pia, inadaiwa kuwa Sarah anataka talaka na mgawanyo wa baadhi ya mali ambazo bado zipo kwa Harmonize.

Ikumbukwe kuna muda Harmonize alihojiwa akasema walishamalizana na Sarah, lakini mrembo huyo aliibuka kusema sio kweli kuna mambo Harmonize anadanganya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live