Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sallam Sk ataja waigizaji bora, Wolper No.1

WOLPER 3 Wolper

Thu, 29 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk bado anaendelea kutoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2022.

Baada ya kutaja wasanii wa muziki wa Bongo Fleva leo ametoa orodha ya wasanii wa Bongo movie waliofanya vizuri.

Katika orodha hiyo @wolperstylish namba moja



Je unakubaliana na orodha aliyoitoa Mendez au wewe una ya kwako??

Chanzo: www.tanzaniaweb.live