Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sallam SK: Mandonga usisindike mtu kwenye utajiri

Sallam Sk Msls Sallam SK na Mandonga

Sun, 15 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa msanii Diamond Platnuzm, Sallam SK amempa ushauri bondia Karim Mandonga asisindikize watu kwenye utajiri kwani umaarufu bila pesa ni kicheko.

Meneja wa msanii Diamond Platnuzm, Sallam SK amempa ushauri bondia Karim Mandonga asisindikize watu kwenye utajiri kwani umaarufu bila pesa ni kicheko. Sallam ameandika; "Hongera Mandonga, ila kuanzia sasa usisindikize mtu kwenye utajiri, umaarufu bila hela ni kicheko baadaye!! Pambano la leo umelitengenezea tension kubwa sana AFRIKA MASHARIKI, kuangalia LIVE ONLINE ilikuwa inacost dolar 2 (Tsh 4,700). Nakutakia kila la heri katika safari yako," amesema Sallam SK.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live