Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sallam Afichua Msanii Anayeondoka Wasafi

Sallam Sk2 Sallam Sk

Sun, 23 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka twitter meneja wa WcB Wasafi @sallam_sk amefichua kwa mara ya kwanza kuhusu uvumi wa msanii aliyetajwa kujiengua kutoka kwenye record label hiyo kubwa nchini kuwa ni mwanamuziki #Hanstone.

Kutoka twitter meneja wa WcB Wasafi @sallam_sk amefichua kwa mara ya kwanza kuhusu uvumi wa msanii aliyetajwa kujiengua kutoka kwenye record label hiyo kubwa nchini kuwa ni mwanamuziki #Hanstone. Salam amejibu hilo kupitia ukurasa wake wa twitter mara baada ya kuibuka kwa mijadala iliyo ibuliwa na #MkubwaFella kwa kueleza kuwa kuna msanii amejitoa kwenye record label ,ambapo wengi wao walikua wakimuhusisha mwanamuziki Rayvanny.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live