Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Sakata la Mch. Malisa na mkewe laanikwa hadharani

Malisaa19551 Sakata la Mch. Malisa na mkewe laanikwa hadharani

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya jana Mtumishi wa Mungu Paul Silvester Paul ameongea na wana habari na kuzungumzia sakata la Prophet Malisa linaloendelea na mke wake. Mtumishi Silvester ameeleza kuwa yeye ndio aliyesuluhisha ugomvi wa doa yao mpaka kuchoka.

Siku ya jana Mtumishi wa Mungu Paul Silvester Paul ameongea na wana habari na kuzungumzia sakata la Prophet Malisa linaloendelea na mke wake. Mtumishi Silvester ameeleza kuwa yeye ndio aliyesuluhisha ugomvi wa doa yao mpaka kuchoka. Ameweka wazi baadhi ya nyaraka ambazo ni kithibitisho ikiwemo cheti cha Talaka yao ambayo ilitolewa mwaka 2022. Ameongeza kuwa ugomvi wao ulikuwa mkubwa sana na mke ndio alikuwa anaomba Talaka kwa mume wake na mume alikuwa hataki lakini ilifikia muda ikabidi akubali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live