Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sababu yaanikwa Masanja kutua EFM

Masanja Efm Sababu yaanikwa Masanja kutua EFM

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kituo cha kurusha matangazo E-FM Kupitia kurasa zake za mitanadao ya Kijamii imeujuza umma kuhusu suala zima la Emmanuel Mgaya alimaaarufu kama (Masanja mkanadamizaji) kutua E-Fm na kukaimu nafasi katika Kipindi cha JOTO LA ASUBUHI.

Nafasi hio aliyokaimu ni kutokana na sehemu ya Watangazaji wake hawapo katika sehemu ya jopo la watangazaji wa Kituo hio tena.

“Tunakusudia kutambulisha ladha mpya kwenye redio na televisheni, zaidi ya yote tunakusudia kutoa nafasi kwa vijana wapya.

Jambo hilo kubwa, ni mchakato unaohitaji kuanzia mahali. Tunashukuru kwamba Waswahili wenzetu wanaelewa kwamba hatuwezi kuamka siku moja na kuwa watu wapya tu.

Masanja ni hatua nzuri sana kuelekea mabadiliko, ni mtu ambaye jamii inamjua, ameiburudisha kwa miaka mingi. Jamii inamjua katika sanaa yake, na masuala ya kidini yaliyomuingiza kwenye ‘media’. Lakini #Telescope @majizzo ameona kitu kingine, atakuwa na namna mpya ya kusoma magazeti:

#KunyamvuaKunyumbulishaNaKukandamiza. Kazi ya mapinduzi mapya yanayolenga kukuburudisha na kukuelimisha imeanza leo. Tuanze na @mkandamizaji, twende mbele kwa nguvu zaidi” #Telescope.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live