Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sababu ya Belle 9 kujiita Baba Boss

Eaea Sababu ya Belle 9 kujiita Baba Boss

Tue, 15 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Ni headlines za msanii wa muziki wa RnB hapa nchini Tanzania Belle 9 ambaye ameachia 'Extended Playlist' yake mpya inayoitwa Boss Baba ambayo ina jumla ya nyimbo tano zinazopatikana katika EP yake hiyo.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumanne , 15th Jun , 2021 Picha ya msanii Belle 9

Akizunguzmzia hilo kwenye show ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Belle 9 mwenyewe amesema ameamua kuiita EP yake Boss Baba kwa sababu mtoto wake wa kwanza anaitwa Boss, hivyo watu humuita Baba Boss. 

"Nimeiita EP yangu 'Baba Boss' kwa sababu nilitaka watu wajiulize maswali lakini pia mimi ni Baba Boss, Mtoto wangu wa kwanza anaitwa Boss hiyo ndio sababu ya kuiita EP yangu hivyo" ameeleza Belle 9

Chanzo: eatv.tv