Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

SHAMSA – “Mastaa Wamenitukana wamekasirika wanasema kwani wao siyo wazuri”

410 Screen Shot 2017 12 19 At 7.14.10 PM 660x400.png TZW

Wed, 20 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Staa kutoka Bongomovie Shamsa Ford amelezea kuhusu post yake aliyopost kwenye Instagram kwa kumsifia Irene Uwoya kuwa ni mzuri kuliko wanawake wote Bongo Movie ambapo amesema kwamba wapo mastaa waliomtumia Message wakimsema kuhusu kitu hicho.

“Ilikuwa ni birthday ya Irene Uwoya nikawa nimeandika happy birthday mwanamke mzuri kuliko wote bongo movie, watu wakaanza kunitukana hasa wanawake, wengine ni wasanii wakawa wananitukana kwa kutuma message,” – Shamsa

Bonyeza PLAY kumsikiliza Shamsa akielezea kila kitu

Shamsa Ford ameziona comments za wanaomkosoa kwa kumsifia Irene Uwoya

Chanzo: millardayo.com