Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

S2kizzy afunguka kuhusu Tetema ya Rayvanny kufutwa YouTube

TETEMA RAYVANNY S2KIZZY S2kizzy afunguka kuhusu Tetema ya Rayvanny kufutwa YouTube

Wed, 10 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya Jina lake kutokea (Salimini Kassim) kama ndiye aliyeclaim copyright ya wimbo wa #tetema , producer s2kizzy amekana kuhusika kwenye ishu hiyo na kudai hajui chochote kinacho endelea.

Miezi kadhaa nyuma, Producer huyo alitumia ukurasa wake wa Instagram, sehemu ya Insta Story akiwashukuru Rayvanny na Diamond kwa kumuamini kutengeneza mdundo wa wimbo huo ulioleta impact kubwa sana kwenye carrier yake.

Haijulikani kama kuna makubaliano zaidi ya kile alicho kiandika s2Kizzy kwenye Insta story yake na hakijatekelezwa au lah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live