Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

S2Kizzy afunguka kila kitu kuhusu kudhulumiwa na Rayvanny

TETEMA RAYVANNY S2KIZZY S2Kizzy afunguka kila kitu kuhusu kudhulumiwa na Rayvanny

Wed, 4 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtaarishaji wa Muziki @s2kizzy Amefafanua Juu ya Stori zilizokuwepo kuwa alidhurumiwa Pesa Nyingi na @sallam_sk na Msanii @rayvanny kupitia wimbo wa #MamaTetema Alioufanya Staa kutoka Colombia @maluma na @rayvanny

#S2kizzy Akiwa kwenye Mahojiano na #AyoTv amesema kuwa mpaka sasa pesa yote imeshaingia kwenye akaunti yake na yote yaliyokuwa yakiendelea ni Maelewano mabovu tu.

"Zote zilikuwa Missunderstanding tu pesa yote imeshaingia na zile shusha pandisha za nyimbo kule youtube ilikuwa ni uwekaji sawa wa system tu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live