Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

S2Kizzy: Mimi ndio nimetoa ngoma kali zaidi

S2Kizzy S2Kizzy: Mimi ndio nimetoa ngoma kali zaidi

Sun, 23 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Prodyuza wa muziki wa Bongo Fleva, S2Kiz amejigamba kuwa yeye ndio prodyuza ambaye ametengeneza ngoma nyingi zaidi Bongo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, S2Kiz ameshusha ujumbe huo wa kujipongeza yeye mwenyewe;

"IN CASE YOU DON’T KNOW …. ????????????????; I A M _ Producer Who Has more songs in all Charts . _ Producer Mwenye 70% ya Hit Songs In A Industry . _ Producer Pekee alioiwakilisha vyema East Africa na Tanzania ???????? kwa ujumla katika Mashindano na Tuzo Mbali mbali For Three Years Mfululizo ????. . _ Producer Pekee Alofanya Global Songs Na Global projects Nyingi , Global recognition Mara nyingi zaidi . ???????????? . _ Most followed , Most International Recognized , Most Participated in Global Projects …. In This Generation ✅ . GOD IS SO GOOD AND I’M GRATEFUL FOR ALL WHO KEEP SUPPORTING ME. ????????"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live