Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruger kuja na Albamu mpya

Ruger 26 3 22 1424x802 1 Ruger

Tue, 14 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuachia ngoma kadhaa zilizompa nauli ya kuja mjini, ikiwemo Dior, Bounce, Girlfriend na Asiwaju ambayo inayaumiza masikio yetu kwa sasa, Mwanamuziki kinda wa Nigeria Ruger amedokeza ujio wa Album yake mpya.

Kupitia twitter wakati akiwashukru mashabiki zake baada ya kushinda Tuzo ya Soundcity MVP ‘Best New Artist’ ambapo aliandika “GET READY FOR THAT CRAZY A%s ALBUM”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live