Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruger akutana na Fabolous Dubai

Dsc Ruger Ruger akutana na Fabolous Dubai

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Nigeria "Ruger" akutana na Rapper mkubwa kutoka Marekani "Fabolous" @myfabolouslife.

Wawili hao wamekutana Dubai. @rugerofficial yupo Dubai kwenye Shughuli zake za muziki na mpaka sasa ametumbuiza mara kadhaa.

Je, unatamani wimbo wa pamoja baada ya wawili hao kukutana?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live