Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruger aachia Project mpya

Ruger 26 3 22 1424x802 1 Ruger

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota Michael Adebayo Olanyika maarufu kama Ruger kutoka Nigeria ameachia project yake ya “Love Again & Make A Way” ambayo ina jumla ya ngoma mbili.

Nyota Michael Adebayo Olanyika maarufu kama Ruger kutoka Nigeria ameachia project yake ya “Love Again & Make A Way” ambayo ina jumla ya ngoma mbili. Ngoma hizo ni “Luv Again” na “Delete Her” zote akiwa yupo mwenyewe. Ngoma hizo tayari zinapatikana kwenye platform zote za muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live