Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruger: Niliogopa kukutana na Burna Boy

Ppps Ruger: Niliogopa kukutana na Burna Boy

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki @rugerofficial anasema aligopa kukutana na staa wa muziki ndani na nje ya Africa #BurnaBoy kwa mara ya kwanza sababu hakutarajia.

"Mara ya kwanza nilipokutana na Burna Boy kwanza niliogopa. Sikujua nini cha kutarajia". amesema Ruger

Pia amewazungumzia Big Three ya Africa #BurnaBoy #Davido na #Wizkid kuhusu uwezo wao wa kimuziki akisema;

"Kabla Burna Boy hajaanza kuperforme na Live wasanii wengi wa Africa walipenda kwenda na DJ wao. Davido ni kiongozi watu wengi wanafuata nyayo zake hata kwa Wizkid pia ni kiongozi hivyo chagua unayetaka kumfuata".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live