Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruger: Naweza kupenda wanawake watano kwa wakati mmoja

Ruger 26 3 22 1424x802 1 Mwanamuziki wa Nigeria Michael Adebayo Olayinka, maarufu kwa jina la Ruger

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Nigeria Michael Adebayo Olayinka, maarufu kwa jina la Ruger ameelezea mtazamo wake kuhusu mapenzi huku akisema yeye anaweza kupenda wanawake watano kwa wakati mmoja tena kwa dhati kabisa.

Ruger aliyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na The Beat 99.9 FM

"Ninaweza kupenda wanawake watano tofauti kwa wakati mmoja. Sijui kama inawezekana kwa wengine lakini mimi naweza.” anasisitiza Ruger.

"Ni rahisi sana kwangu kuzama kwenye mapenzi, yaani zawadi na pongezi hunifanya niwe na hisia kali kwa wanawake. ninathamini sana zawadi na pongezi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live