Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruby amshambulia vibaya Majizzo

Majicebook Ruby amshambulia vibaya Majizzo

Sat, 16 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii nguli qa Bongo Fleva, Helen Majeshi maarufu kams Ruby ametoa shutuma nzito kwa Mkurugenzi Wa E-Media, Majizo akidai ni mnyanyasaji kwa wasanii Wa kike huku akiomba Media hiyo iache kabisa kupiga kazi zake.

Katika mazungumzo hayo ya Ruby ameweka wazi Kuwa yeye ni mhanga wa tatizo hilo Maana Kipindi anapambania Promotion ya Album yake mpya Majizo Alikuwa anamuomba Rushwa ya ngono ili aweze kupata Nafasi ya Kupata Support kwenye media yake.

Hakika naendelea kuamini Kwa Asilimia Mia Kuwa kwenye media zetu Hapa Nchini Kuna Uchafu mkubwa sana Maana rubby Sio Msanii wa kwanza wakike Kutoa tuhuma Hizi.

Linah Sanga, Nandy, Recho kuzunguzungu, Vannesa Mdee na Gigy Money ni baadhi ya Wasanii Ambao wamepitia shida hiiii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live