Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruby ameuthibitishia uma kuwa ni mjamzito

Ruby Asd Ruby ameuthibitishia uma kuwa ni mjamzito

Mon, 30 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji nyota wa muziki nchini, msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito.

Ruby ame-share picha hiyo inayoonesha ukubwa wa tumbo lake kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii.

Hitmaker huyo wa #TaiChai anategemea kupata mtoto wake wa pili baada ya binti yake wa kwanza aliyempata na mwimbaji Kusah.

"Asante Mungu ???? #MAMAG ❤️" ameandika Ruby kupitia kurasa zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live