Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruby ajilipua kwa Mose Iyobo asema "Nakupenda sana na unajua"

57777 660x400 Ruby ajilipua kwa Mose Iyobo asema "Nakupenda sana na unajua"

Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi  Aunty Ezekiel aitwae Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba.

Ruby kupitia ukurasa wake wa instagram alimpost Mose Iyobo na kuandika.. “Nakupenda sana sana na Unajua” kitu kilichoacha maswali yasiyo na majibu kwa mashabiki juu kinachoendelea baina ya wawili hao.

Ikumbukwe hapo awali Kusah alikuwa kwenye mahusiano na Ruby ila kwasasa yupo kwenye mahusiano na Mwigizaji Aunt Ezekiel na wawili hao wamafanikiwa kupata mtoto wa kiume.

Chanzo: millardayo.com