Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruby aibuka na Mose Iyobo wa Aunt Ezekiel

8872 PIC+IYOBO Ruby na Mose Iyobo

Mon, 2 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

Msanii Hellen Majeshi maarufu kama Ruby amempost baba mtoto na mpenzi wa zamani wa staa wa filamu Aunty Ezekiel Mose Iyobo kisha kuandika anampenda sana hali ambayo imezua maswali mitandaoni kwa watu kujiuliza kama wapo kwenye mahusiano.

Ruby ametumia ukurasa wake wa Instagram kwa kushea picha ya Mose Iyobo katika kumbukumbu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuandika.

"Happy birthday Baba Cookie, nakupenda sana na unajua"

Ikumbukwe tu Aunty Ezekiel kwa sasa ana mtoto mwingine wa kiume na msanii Kusah ambaye ni mpenzi wa zamani wa Ruby ambapo kwenye mahusiano yao pia wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.

Chanzo: eatv.tv