Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruby: Sijawahi kumchora tattoo ya mpenzi wangu

Ruby Mweh Ruby

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa Bongofleva, Ruby amesema hajawahi kumchora mtu tattoo katika mwili wake!.

Ruby akizungumza katika Podcast ya Lil Ommy, amesema tattoo anazochora ni kuhusu maisha yake na uhalisia wa maisha yake.

“Hiyo line haijavukwa bado, nilishawahi kufikiria, labda kilichokwamisha ni muda haukuwa sahihi” amesema Ruby.

Utakumbuka kwa sasa Ruby anafanya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Fall in Love.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live