Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruby: Mpenzi wangu wa zamani ana ubuyu kichwani

Chelewa 1 Ruby: Mpenzi wangu wa zamani ana ubuyu kichwani

Wed, 21 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Ruby amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa ndio saizi yake huku akisema kuwa watu wamekuwa wakiwafananisha kuanzia kimo kuwa wamelingana na mpenzi wake wa zamani.

Ruby amesema jambo hilo si kweli kwani wapo tofauti hata kimuonekano na kusema kwamba mpenzi wake wa sasa kichwani anarangi nyeusi na yule wa zamani (Kusah) ana ubuyu.

Akiwa kwenye Kipindi cha #Uhondo cha #EFM, Ruby amesema; "Niwaambie tu kuwa mpenzi wangu wa sasa hivi kichwani rangi yake ni nyeusi lakini mpenzi wangu wa aamani kichwani ana ubuyu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live