Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Rubani mdogo alierusha ndege Marekani, Rubani alieangusha ndege kisa mapenzi (+video)

Video Archive
Thu, 10 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Kutokea Makao Makuu ya AyoTV na millardayo.com Palm Village DSM, tunakukutanisha na rubani mdogo Tanzania, Mussa Alphonce (24) ambapo mbali ya mambo mengine aliyofunguka pia ametueleza vitu ambavyo rubani hatakiwi kuwa navyo ndani ya Ndege.

Kutokea Makao Makuu ya AyoTV na millardayo.com Palm Village DSM, tunakukutanisha na rubani mdogo Tanzania, Mussa Alphonce (24) ambapo mbali ya mambo mengine aliyofunguka pia ametueleza vitu ambavyo rubani hatakiwi kuwa navyo ndani ya Ndege. “Ni Simu mara nyingi watu wakiendaga kule juu wanaanzaga kuchukua video kwamba waonekane nao wanaruka, mara nyingi hawapendagi uwe na simu namba mbili wanakwambia uwe fit kuna checklist wanaangalia kama una stress haitakiwa, pia pombe,” Mussa Alphonce

Chanzo: millardayo.com