Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rotimi aachia dude jipya 'Bestie'

Rotimi 0142 Rotimi aachia dude jipya 'Bestie'

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Nguli wa muziki wa RnB na Mkali wa Nyimbo Za mapenzi kutoka nchini Marekani @Rotimi ameachia wimbo wake mpya rambao analenga kukonga mioyo ya Wapendanao ambao unaitwa #Bestie.

Tayari ngoma hiyo ya Bestie inazidi kufanya vizuri kwenye platforms tofauti za muziki duniani.

Rotimi anashauku kubwa ya kutaka mashabiki wake wasikie project yake ijayo iitwayo #7even akiipa Jina la mtoto wake wa kwanza.

Kwa sasa Rotimi anafanya kazi na msanii nguli Akon kuongezea ladha kwenye kazi zake mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live