Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rose: Tafuta hela ujiondolee utumwa

Ndauka Pc Data Rose Ndauka

Thu, 26 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rose Ndauka; ni mwanamama wa Bongo Movies na Bongo Fleva ambaye amewafunda wanawake wenzake namna ya kuondokana na utumwa kutoka kwa mwanaume.

Rose Ndauka; ni mwanamama wa Bongo Movies na Bongo Fleva ambaye amewafunda wanawake wenzake namna ya kuondokana na utumwa kutoka kwa mwanaume. Rose ambaye ni mke na mama wa watoto wawili anasema; “Mwanamke fanya kazi, tafuta hela yako ujiondolee utumwa kwenye maisha…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live