Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rose Ndauka awalipua maprodyuza Bongo

Rose Ndauka Netflix Rose Ndauka awalipua maprodyuza Bongo

Sat, 22 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amewalipua maprodyuza wa Kibongo kuacha tabia ya kufanya muvi kwa bajeti ndogo kwani zinashusha thamani ya tasnia.

Alisema, matokeo yake filamu za Kibongo zimekuwa zikishindwa kushindana kwenye soko la kimataifa.

“Tuache jamani kufanya muvi kwa bei ndogo. Sio lazima wote tuwe maprodyuza, ni bora waache kufanya hii kazi. Bajeti ya milioni 10, 20 mtu anafanya muvi,” alisema Rose.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live