Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rose Ndauka anatarajia kupata mtoto hivi karibuni

Ndauka Mers Rose Ndauka anatarajia kupata mtoto hivi karibuni

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Mkongwe wa Filamu nchini Tanzania, Rose Ndauka ametangaza kuwa anatarajia kupata mtoto hivi karibuni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ndauka ame-share baadhi ya picha zikionesha na ujauzito wake mkubwa kisha akasindikiza na maneno yafuatayo; "Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kila hatua ❤️❤️❤️"

Post hiyo inaonesha huenda hivi karibuni Rose pamoja na mume wake (Hafidhi) watapata mtoto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live