Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rose Ndauka ajifungua mtoto wa kiume tarehe yake ya kuzaliwa

D069DE93 F924 46EB 9CF3 377B364C3325 660x400.jpeg Rose Ndauka ajifungua mtoto wa kiume tarehe yake ya kuzaliwa

Thu, 8 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwigizaji wa kike wa Muda mrefu Rose Ndauka amefanikiwa kupata mtoto wa kiume baada ya kujifungua siku moja na siku yake ya kuzaliwa ambayo ni October 7.

Rose Ndauka amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa….>>”Happy bithday to me and my little boy,am very happy najiona niliye barikiwa sana naona utukufu wako Muumba wangu,sitaacha kukushuru kwa kila jambo”

Hizi hapa chini ni Picha za Rose Ndauka akiwa Mjamzito

Chanzo: millardayo.com