Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rose Ndauka: Mume wangu anapenda sana

Ndauka One Mume Rose Ndauka na mume

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rose Ndauka; ni malkia wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, mume wake, Hafidh anapenda sana kula chakula chake (Rose).

Rose anasema kuwa, hakuna kitu ambacho anatamani kila siku zaidi ya kuongeza ujuzi kwenye suala zima la mapishi hivyo anabuni mbinu mpya kila kukicha.

“Mume wangu anapenda sana kula chakula ninachokipika na huwa natamani sana kila siku niwe na mapishi mapya ili akipende zaidi maana sifa ya kwanza ya mwanaume ni chakula, hayo mengine ni ziada tu,” anasema Rose Ndauka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live