Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rose Muhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Muhando Mdsc Rose Muhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake.

Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa pembeni yake aliyevaa t-shirt rangi nyekundu ndiye mume wake mtarajiwa.

Kama atafanikiwa kuolewa na ndoa ikapita salama basi hii itakuwa ndoa yake ya kwanza kwa mwanamama huyo mwenye watoto watatu ambao amezaa na wanaume tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live