Menu ›
Burudani
Mon, 19 Jun 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rosa Ree ameweka wazi kupunguza kilo zake kwa kufanya mazoezi na kula vizuri baada ya kujifungua.
Rosa Ree amesema amepunguza kilo kutoka zaidi ya 70 hadi 46 jambo ambalo anajivunia.
"Sio kazi rahisi kupungua kilo nyingi hivyo tena kwenye kipindi cha kutoka kujifungua, wengi huwa wananenpa zaidi badala ya kupungua, mimi nimepambana, nimekula vizuri na kwenda gym," alisema Rosa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live