Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rosa Ree afunguka kulea mtoto mwenyewe

Rosa Ree Azungumzia Uhusiano Wake Na Khaligraph Baada Ya Ugomvi Wao.png Rapa Rosa Ree

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini RosaRee amedai kuwa kuna muda anakuwa kama baba kwa mtoto wake, akimlea mwenyewe na kumsimamia japo ni ngumu kuwa baba.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini mwanamuziki huyo ameeleza kuna muda anatakiwa kuwa na nafasi zote kwa mtoto wake japo ni ngumu lakini inambidi kufanya hivyo.

Rosa ameeleza kuwa nafasi ya mwanaume ni nzito na inahitajika sana kwa mtoto na hakuna mwanamke ambaye anaamua kulea mtoto peke yake lakini ikibidi hakuna namna lazima uwe jasiri kuliko awali

Chanzo: www.tanzaniaweb.live