Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rosa Ree achafua kurasa za Grammy

Grammy Rosa Ree (22).jpeg Rosa Ree achafua kurasa za Grammy

Fri, 29 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa maarufu wa kike nchini Tanzania, RosaRee amewekwa kwenye chapisho lililotolewa na GRAMMY.

RosaRee ametokea kwenye chapisho hilo akiwa katika orodha ya Rappers 10 wa kike kutoka bara la Afrika wanaofanya muziki wa HipHop.

Rosa amewekwa kwenye Page ya juu akiwa pamoja na Femi One wa Kenya, Sho Mad jozi wa Afrika Kusini, Deto Black Nigeria, Nadai Nakai Zimbabwe, Candy Bleakz Nigeria, SGaWD Nigeria, Lifesize Teddy Nigeria, Eno Barony Ghana, Deela Nigeria.

Ambapo Chapisho hilo limemdadavua kwa undani Rosa Ree huku likiielezea ngoma ya Mama Omolo na kuizungumzia ilivyokuwa na ubora wa kipekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live