Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rosa Ree: Siwezi kuwanyima

Rosa Ree Azungumzia Uhusiano Wake Na Khaligraph Baada Ya Ugomvi Wao.png Rosa Ree.

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Rosa Ree amesema hawezi kuacha kuonyesha uzuri wake katika mitandao kwani ni kitu alichobarikiwa kama mwanamke.

Rapa Rosa Ree amesema hawezi kuacha kuonyesha uzuri wake katika mitandao kwani ni kitu alichobarikiwa kama mwanamke. "Yeah for me, sometime nakuwa sexy, mimi ni mwanamke na ni mzuri, kwanini niwanyime hicho kitu, na ninapenda namna ambavyo nimeumbika," amesema Rosa Ree.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live